Natafuta gari ndogo

Natafuta gari ndogo

jrnako

Member
Joined
Jul 20, 2017
Posts
40
Reaction score
13
Wakuu habari zenu ,nina milion 3 natafuta gari ndogo ya kukatia msele hapa mjini <br />Msaada please
 
Kuna mashine hiyo jamaa hana noma,nakutumia namba zake mkuu myajenge...
tapatalk_1497066878060.jpeg
 
Iko BREVIS kali sana, tatizo jamaa analalamika kuwa inakula sana mafuta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom