Natafuta gari ndogo

Naoana watu wanagombania deal.. ukishindwana nao nicheck PM
 
Habari wana jf. Natafuta gari ndogo mf ist kama kuna mtu anauza nijuze please isizid 6 mil
Nina tayota premio namba C. Iko vzr. Tuwasiliane uniongezee kidogo nikupe. Chuma kipo Mwanza.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Siku hizi kuna kudaiwa nini? Au ndo umezoea kusema hilo neno

Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
kuwa makini watu wanachukulia gadi mikopo na wanarudi kucheza na tra wana printiwa kadi tena wanauza gari msala unabaki wako ulizani ni madeni ya tra tu.
 
Habari wana jf. Natafuta gari ndogo mf ist kama kuna mtu anauza nijuze please isizid 6 mil
Mkuu ipo Suzuki jimny kwa hiyo hiyo bei ukiwa tayari nipm nikuunganishe na muuzaji.

huwezi kuwa shujaa bila kuwa muhuni
 
Habari wapendwa kama vipi mnicheki WhatsApp na picha ya gari Tafadhali 0755952466
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…