NATAFUTA GARI NDOGO KWA GHARAMA YA 3.5Ml

NATAFUTA GARI NDOGO KWA GHARAMA YA 3.5Ml

jumbenylon

Senior Member
Joined
Jun 12, 2011
Posts
115
Reaction score
10
Habari zenu wadau, naomba kupata msaada wenu. Nahitaji gari ndogo ya kutembelea, Budget yangu ni milioni 3.5. Iwe in good condition haijalishi registration namba gani! Kama unalo tafadhali weka picha zake na maelezo kidogo! Na mawasiliano! Au nitumie kwenye whatsapp kupitia 0714021078 au email: jumbenylon@gmail.com. ASANTENI
 
Jipange kaka angalao ununue gari maana kwa hela hiyo unataka kusaini mkataba na mafundi tuu hutakuwa na gari
 
naona unataka gari la kulenga mkuu
 
Habari zenu wadau, naomba kupata msaada wenu. Nahitaji gari ndogo ya kutembelea, Budget yangu ni milioni 3.5. Iwe in good condition haijalishi registration namba gani! Kama unalo tafadhali weka picha zake na maelezo kidogo! Na mawasiliano! Au nitumie kwenye whatsapp kupitia u0714021078 au email: jumbenylon@gmail.com. ASANTENI
hujasema aina ya gari mkuu au gari lolote mkuu
 
hujasema aina ya gari mkuu au gari lolote mkuu

HUJAMUELEWA kasema lolote, ila mimi naona anatafuta kuingia kwenye record ya waliowahi kumiliki gari, na sio anataka kuwa na gari.
 
Kwa bajeti yako utapata kitu cha ajabu sana
 
Habari zenu wadau, naomba kupata msaada wenu. Nahitaji gari ndogo ya kutembelea, Budget yangu ni milioni 3.5. Iwe in good condition haijalishi registration namba gani! Kama unalo tafadhali weka picha zake na maelezo kidogo! Na mawasiliano! Au nitumie kwenye whatsapp kupitia 0714021078 au email: jumbenylon@gmail.com. ASANTENI

Hizo pesa nipe mie... nitakuwa nakupa lift kila unapohitaji usafiri....
 
Ukipata kwa bei hiyo uniambie na Mimi ninunue gari yeyote.
 
Wasikutishe pita mule wanapolaza magari au nenda kaongee Na wakubwa WA action mart utapata
 
wavumilie wanaokubeza! nina imani utafanikiwa jaribu kutafuta mawasiliano na madalali wa upanga! wahindi wanazo nyingi wamezifungia store!
 
Ongeza bajeti yako ifike milioni tano na nusu nikupe gari ya ukweli ninayotumia mimi mwenyewe,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom