Kitimbwisi
Senior Member
- Feb 5, 2013
- 155
- 72
natafuta gari nzuri ya kutembelea.. aina yoyote kwa bei nafuu.. nipo dodoma.. pm if unayo
RAV4, 1996; 6.5M? Weka picha na maelezo zaidiNina Rav 4 ya mwaka 1999 nauza kwa bei ya 6.5m. Haishuki. Tumia 0717743549
Sema bei mkuuDuet NAMBA CLS 20000KM
Nina Rav 4 ya mwaka 1999 nauza kwa bei ya 6.5m. Haishuki.
Tumia 0717743549
Mkuu, ebu weka picha alafu utoe na technical problems zake
Mkuu, ebu weka picha alafu utoe na technical problems zake
Nauza saba kamili Mpwa wangu, hio haina maelewano tenaSema bei mkuu
elli bei gani unauza
Mpwa Elli msome huyu
Nimemsoma asante ila sasa naona sijui anataka nishuke hadi ngapi!! Hii gari haina hata miezi miwili nimeitoa December 28, 2013 hadi leo hii hebu piga hesabu Mpwa.shuka tena elli