watambi JF-Expert Member Joined Dec 7, 2011 Posts 335 Reaction score 268 Dec 20, 2012 #1 Natafuta gari ya kukodisha kwa muda wa siku 3 iwe na uwezo wa kuchukua watu zaidi ya saba na iwe katika hali nzuri.iwe ya bei nafuu na haitajiki dereva
Natafuta gari ya kukodisha kwa muda wa siku 3 iwe na uwezo wa kuchukua watu zaidi ya saba na iwe katika hali nzuri.iwe ya bei nafuu na haitajiki dereva
Naby Keita JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 12,891 Reaction score 20,144 Dec 20, 2012 #2 jambasi
CHAI CHUNGU JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 7,113 Reaction score 950 Dec 21, 2012 #3 Ipo ninayo.......ni basi kubwa la abiria 60 vipi litakufaa?
B Bullfighter New Member Joined Dec 20, 2012 Posts 4 Reaction score 0 Dec 21, 2012 #4 unaitumia kwa kazi gani?
B Bullfighter New Member Joined Dec 20, 2012 Posts 4 Reaction score 0 Dec 21, 2012 #5 Hebu Ni PM kuna Noah mpyaaaaaaaaaaaaaaaaaa!