Natafuta gari Ford ya kutembelea

Natafuta gari Ford ya kutembelea

jiwekuu770

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
2,246
Reaction score
1,646
Natafuta gari ya kutembelea Ford nina milion 2 na nusu.
 
Ungekuwa na milioni saba ungepata ford ranger kama zile za maafisa wa jeshi au usalama wa taifa. Ipo vizur namba B ila inasumbua kuwaka coz ya nosel

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ni ya mwaka gani hiyo ranger yako? unaweza kueka picha?
 
Ungekuwa na milioni saba ungepata ford ranger kama zile za maafisa wa jeshi au usalama wa taifa. Ipo vizur namba B ila inasumbua kuwaka coz ya nosel

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Kwa hiyo kwa hyo bei siwez pata ford kokote au naweza pata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom