Natafuta Gari Ford ya kununua kama hii chini

Natafuta Gari Ford ya kununua kama hii chini

Wewe ukiona gari mbili ndo useme ni nyingi, kati ya magari 1000 utakuta hiyo ford moja au ukakosa kabisa
Uongo,yako mengi barabarani labda kama uko huko koromije na yanayauzwa mengi tu.Ingia Kupatana au jiji yanauzwa mengi kichizi.
 
Back
Top Bottom