Natafuta gari economy offer 5m

Natafuta gari economy offer 5m

Kununua gari bovu ni kujiongezea usikini. Ongeza pesa agiza mwenyewe

Nafikiri ulitaka kuandika umasikini, ni kweli kabisa ila hapo kwenye kuongeza pesa mtihani sana hata sijui itatoka wapi labda niweke itikadi niteuliwe
 
mi nnayo ila ni gx 110, litre moja inaenda km 9

Asante kwa ofa, lakini GX110 inazidi threshold ya engine size niliyoitaka ya not greater than 1500cc na kwa nnavojua GX110 ni either 1G-FE ya cc1980 au 1JZ ya cc2490 D4-vvti ila angalia pm yako.
 
Back
Top Bottom