Natafuta gari economy offer 5m

Natafuta gari economy offer 5m

clento

Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
14
Reaction score
30
Habari wanajamii nahitaji gari ndogo yenye engine chini au sawa na cc1500, vvti , Toyota zaidi, namba sio ishu ila iwe katika hali nzuri, passo hapana, premio, fielder, ist , raum, spacio sawa. Mwenye nayo anicheki pm au acomment hapa. Angalizo ni kuwa nayajua vizuri magari sihitaji fundi kukagua.
Ahsanteni
 
premio, fielder, ist , raum, spacio hizo ulizo taja kwa m5.hazipo ukizipata mpaka umepumzika kutengeneza ongeza m5 nyengine.kwa bei hiyo ngumu
inbox ni uchague magari
 
usimtishe mimi ninayo tena bado ipo katka hali nzuri nauza 5.5ml
 
Nakushaur tembea kwenye yard za magar this season ya skukuu,nying bei zimepungua,gar ya 10m imefika had 8m..ila kupata gar ya 5mil ndugu yangu tena mkonon,unatafta balaa,gar za mkonon zna siri nying sana,..na anaekuuzia hawez kwambia,utajikuta unahudumia gar kama umeoa wake wa3
 
Ni kweli na nivizuri sana, ila mkono wangu haufiki kujikuna hadi 8m sema tu sina takwimu ningesema ile kauli iliyokatazwa. Uzuri mmoja nazijua gari vizuri sana hivyo kuuziwa bomu ni ndoto ya mchana.
 
Back
Top Bottom