Natafuta gari Carina Ti,Ist,spacio,

Sharma

Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
42
Reaction score
7
Mada inajieleza,natafuta gari kati ya hayo matatu bajeti milioni 6 fixed iwe Namba C/D kilometre chache haijapata ajali wala kupakwa rangi.
Kama una gari tofauti na hiyo eleza ubora wake cc na ulaji wa mafuta .
Wekeni picha nimwoneshe wife ili tujadiliane na kuamua

Sharma
 
Budget yako ndogo kulingana na mahitaji yako
 
nafikir mwenye nayo aweke hapa kati ya ist na carina pia nahitaji
 
Reactions: MC7

Nina spacio old model...namba b,km 400000,iko vizur cna..
Nichek 0783380123
 
Nina spacio old model...namba b,km 400000,iko vizur cna..
Nichek 0783380123
Weka picha hapa, wateja wapo wengi tu, hata muangaliaji anaweza kuvutiwa na akanunua.
 
Mimi ninayo passo ya mwaka 2005 no DEX capacity engine cc 990 mafuta inanusa Rangi nyeusi
Bei 7.8
Picha nk nichk nitskutumia whatssp
0756060183/0715060183
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…