Natafuta Gari aina yoyote ndogo

Kambi1

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2017
Posts
353
Reaction score
309
Wadau habarini,
Nahitaji gari ambayo bei yake chini ya Tshs 1.5M mahususi kwa matumizi binafsi ili ndani ya mwaka niwe na uwezo mzuri wa kutunza gari nyingine.
Kwa ufupi nataka gari ya kazoezi yakuendesha.
Kwa yeyote ambaye anauza au anaye weza kuniunganisha.
Sifa iwe inauwezo wa kutembea hata km rangi imebaki kutu
 
Kuna gari ya boss wangu imepaki kwa miaka kama mitano iliyopita. Nadhani hata kwa laki mbili atakuuzia.
 
Kwa hiyo bei tafuta SCOOTER mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…