Sijui kama utapata,uko chini mno
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Nipo mwanza natafuta gar tajwa hapo Nina mill 3.5 ila nataka C.C 990. 0762369619
sidhani kama uko serious.
m3.5 upate vitz pina!!!!!! shauri yako usije yakaribisha matatizo nyumbani ukauza hadi vikuku ili kununulia spare parts.
Ninayo vitz yenye Cc 990, ninauza bado hiko poa kabisa ila kwenye bei mimi nataka mil 6 kamili.
kaka punguza tufanye biashara
Nipo mwanza natafuta gar tajwa hapo Nina mill 3.5 ila nataka C.C 990. 0762369619
Labda kama ni bodaboda aina ya vitz kama ipo ...
hiyo ndoo Pesa yangu
naomba unichek kwa 0713 806 766 tufanye biashara mkuuNinayo vitz yenye Cc 990, ninauza bado hiko poa kabisa ila kwenye bei mimi nataka mil 6 kamili.
naomba unichek kwa 0713 806 766 tufanye biashara mkuu
.
sipo chini hicho ndoo kiasi nilicho nacho