Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Natafuta fundi wa laptop aliyeko Arusha. Laptop yangu inaunguruma sana ninapoiwasha pia baadhi ya button hazifanyi kazi. Kwa yeyote mwenye utaalamu naomba anipm