Natafuta fundi wa kushona nguo

Natafuta fundi wa kushona nguo

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,146
Reaction score
7,676
Namtafuta Fundi Mzuriii Anaejua Kushona Nguo kwa Design nitakayo mpatia mimi! Nguo za Kiume!

Awe Dar, Mwaminifu, Na Mtu atakae fanya kazi Kwa wakati tutakao Kubaliana!

Nitumie Whatsapp Number yako PM.
Adjustments.JPG


Hiyo Ni moja Ya design nayoitaka kushonewa lakini sio kitambaa hicho

Kama Kuna Fundi PM please
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom