natafuta fundi wa engine ya Toyota D4

regam

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
269
51
Nina gari aina ya toyota vista ardeo yenye engine ya D4. Imeanza kunisumbua na kila nikipeleka garage ni miyeyusho tuu.
Kwa yeyote mwenye kujua fundi mzuri tafadhali awasiliane nami (0719123216)
 
Fundi mzuri aidha atakuwa TOYOTA motors au Japan kwenyewe. Ukiweza tafuta service manual na sio owner's manual ya hiyo gari ndio mwisho wa matatizo yote.
 
0714767674

Mpigie huyu jamaa wewe eleza shida yako, kijana hana longolongo na ni fundi mzuri saana

all da best
 
INGIA KWENYE GOGLE - BOFYA D-4 ENGINES - UTAPATA SPECIFICATIONS ZAKE NA JINISI ZILIVYO NA MATATIZO NA JINSI FUNDI ANAVYOTAKIWA KUWA RECTIFICATION -

Halafu mwelekeze Fundi wako - kwani zina fault kidogo wakati wa kutengeneza.

hope nimekusaidia
 
Nina gari aina ya toyota vista ardeo yenye engine ya D4. Imeanza kunisumbua na kila nikipeleka garage ni miyeyusho tuu.
Kwa yeyote mwenye kujua fundi mzuri tafadhali awasiliane nami (0719123216)

Uko wapi Mkubwa wangu!

Kama vipi nikuPM

Nipo Arusha!
Unipata ugonjwa wa gari lako kwisha kbs!
 
Mie niko dar es salaam. lina tatizo la kuzima na kutumia mafuta (petrol) mengi sana kiasi kwamba kama nikicheki oil nahisi inaharufu ya petroli
 
me nnayo yangu bado nakuwa mbishi wa kupambana nayo! Kama vp ntamcheki kwa hiyo numba hapo juu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom