Natafuta fundi wa digital camera canon ixus 9515

Natafuta fundi wa digital camera canon ixus 9515

Penguin-1

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
406
Reaction score
65
Nina Camera Canon IXUS 9515
imeleta mushkeli kidogo ,ukiiwasha lenz haitoki muda wote ,na display yake haionyeshi.
sijaiangusha imeanza ghafla ,fundi mtaalam niPM ama nibeep 0655123683/0759123683
Ningependelea kupata fundi dar.
View attachment 56683View attachment 56684
 
majuzi tuliona uzinduzi wa duka la wakala wa kampuni ya canon dar,sikumbuki walisema mtaa gani lakini uki google unaweza kujua hilo,pamoja na kuuza vifaa vya canon walisema wana toa tech services kwa canon products, kwepa mafundi wa uswaz wataharibu zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom