ngosha2011 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 681 Reaction score 87 Feb 24, 2014 #1 Nina nokia n8 imezima gafla nikiwasha ina vibrate tu haiwaki kama kuna fundi simu mzuri pande za mwanza anaweza kui flash aniambie na gharama ni sh ngapi
Nina nokia n8 imezima gafla nikiwasha ina vibrate tu haiwaki kama kuna fundi simu mzuri pande za mwanza anaweza kui flash aniambie na gharama ni sh ngapi
K kamuakotekote Senior Member Joined Feb 12, 2014 Posts 163 Reaction score 17 Feb 24, 2014 #2 Si muda mrefu wanakuja nakupa moyo tulia tuli.
ngosha2011 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 681 Reaction score 87 Feb 24, 2014 Thread starter #3 kamuakotekote said: Si muda mrefu wanakuja nakupa moyo tulia tuli. Click to expand... thanx mkuu hapa nilipo nimetingwa sana
kamuakotekote said: Si muda mrefu wanakuja nakupa moyo tulia tuli. Click to expand... thanx mkuu hapa nilipo nimetingwa sana
K kamuakotekote Senior Member Joined Feb 12, 2014 Posts 163 Reaction score 17 Feb 24, 2014 #4 ngosha2011 said: thanx mkuu hapa nilipo nimetingwa sana Click to expand... Usihofu hii ndiyo dunia kaka na cm za wachiina majanga pole mkuu.
ngosha2011 said: thanx mkuu hapa nilipo nimetingwa sana Click to expand... Usihofu hii ndiyo dunia kaka na cm za wachiina majanga pole mkuu.
ngosha2011 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 681 Reaction score 87 Feb 24, 2014 Thread starter #5 kamuakotekote said: Usihofu hii ndiyo dunia kaka na cm za wachiina majanga pole mkuu. Click to expand... thanx ila sio ya kichina mkuu ni yenyewe kabisa baba
kamuakotekote said: Usihofu hii ndiyo dunia kaka na cm za wachiina majanga pole mkuu. Click to expand... thanx ila sio ya kichina mkuu ni yenyewe kabisa baba