Natafuta fundi seremala mchapa kazi ambae tunaweza kuanza kufanya kazi wote kwenye biashara yangu mpya ambaye yuko interested aniPM tuzungumze.Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
maana naona mapovu kama yote...haya nawasubiri