Mythbuster
Member
- Dec 12, 2010
- 92
- 50
Wakuu za kwenu?
laptop yangu aina ya Dell imekuwa kama desktop kwani inawaka nikiweka adapter kwenye Umeme tuu, Nikiiitoa inazimika papo hapo. Nimejaribu kununua betri Mpya lakini imeendelea kuwa vivyo hivyo. Imepelekea Kuamini kuwa tatizo la laptop hiyo in charging system. Naomba Kama kuna mtu anamjua fundi Mzuri wa tatizo Kama hilo anielekeze nikamuone.