Natafuta fundi mzuri wa iphones 6 aliyeko Arusha

Natafuta fundi mzuri wa iphones 6 aliyeko Arusha

Talia shambe

Member
Joined
Aug 24, 2017
Posts
6
Reaction score
0
Naomba msaada kumpata fundi mzuri wa Iphone arusha, simu yangu ina screen yake hai display kitu na haija vunjika hata kidogo.
fix-iphone-6-iphone-6-plus-screen-flickering-problem.jpg
 
Simu za BP za kazi gani, yaan kutengeneza hiyo simu gharama kuliko gari, sina hamu nazo kabisa hizo iphone, software ina masharti kibao, and no app is free kama android
 
Jaribu kwa Benson ila andaa kibunda cha kueleweka.
 
Simu za BP za kazi gani, yaan kutengeneza hiyo simu gharama kuliko gari, sina hamu nazo kabisa hizo iphone, software ina masharti kibao, and no app is free kama android

Mbona povu mkuu? Mwenye post kaomba kuelekezwa namna ya kupata fundi Arusha! Wewe umekuja na lawama tu... kwani lazima kuposti??
 
Back
Top Bottom