Gari ikiwa kwenye silence haitulii na inakuwa inatingishika na ni kero kwenye foleni. Nimekuwa na mafundi watatu bila suluhu na naona hawajajua kiini. Nimebadili plug, nimenunua radiator,feni imefungwa direct, exhaust imebadilishwa mara mbili lakini tatizo halijaisha.
kuna fundi mzuri pale mwananyamala a barabara ya kuelekea hospital ukitokea mwinjuma road. Kabla hujafika kituo cha daladala cha hospital, upande wa kulia. 0713291954 anaitwa athman. Ukifanikiwa ni pm
aku pm ukachukue ten percent??
Haya kuna huyu mzuri anatengeneza magari mengi ya toyota habatishi alisomeshwa na kampuni ya toyota akawakimbia baada ya kuona wanamtumia kuliko anachopata pale ofisi za toyota
tel 0713 450 248
akikufanikishe usini pm we peleka kanisani ama msikitini
shukrani
Mkuu kwani ww uko wapi? hapa nachingwea kuna fundi mmoja matata sana..yeye ndio alikuwa anatengeneza magari ya ikulu enzi za mwalimu! walimzika mafao yake sasa ndio kajiajiri kwa kufungua kigereji chake hapa, ila ni mtaalamu haswa!....+255716558963Gari ikiwa kwenye silence haitulii na inakuwa inatingishika na ni kero kwenye foleni. Nimekuwa na mafundi watatu bila suluhu na naona hawajajua kiini. Nimebadili plug, nimenunua radiator,feni imefungwa direct, exhaust imebadilishwa mara mbili lakini tatizo halijaisha.
nachukia ufisadi
mkuu kwani ww uko wapi? Hapa nachingwea kuna fundi mmoja matata sana..yeye ndio alikuwa anatengeneza magari ya ikulu enzi za mwalimu! Walimzika mafao yake sasa ndio kajiajiri kwa kufungua kigereji chake hapa, ila ni mtaalamu haswa!....+255716558963
ukifanikiwa utujuze hapa jamvini.