Futota JF-Expert Member Joined Dec 11, 2010 Posts 521 Reaction score 88 May 24, 2016 #1 Hello wakuu JF Natafuta fundi stadi wa mbao, tufanye kazi ya kutengeneza kwa kutumia mbao ya mninga au mkongo, kitchen cabinets pia kazi ya ku design walk-in-closet kwa kuweka shelves, drawers, hangers n.k. Tafadhali uni PM. Kazi ipo Dar
Hello wakuu JF Natafuta fundi stadi wa mbao, tufanye kazi ya kutengeneza kwa kutumia mbao ya mninga au mkongo, kitchen cabinets pia kazi ya ku design walk-in-closet kwa kuweka shelves, drawers, hangers n.k. Tafadhali uni PM. Kazi ipo Dar