K Kk02 Member Aug 23, 2018 11 1 Mar 5, 2019 #1 Habari wanaJF mimi ni mfanyabiashara wa kutengeneza masofa natafuta mafundi wawili wa kuvesha makochi na wakushona vitambaa vya makochi mwenye ujuzi huo tafadhali anipigie kwa namba hii 0768078727 au aniPM. Asante! Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wanaJF mimi ni mfanyabiashara wa kutengeneza masofa natafuta mafundi wawili wa kuvesha makochi na wakushona vitambaa vya makochi mwenye ujuzi huo tafadhali anipigie kwa namba hii 0768078727 au aniPM. Asante! Sent using Jamii Forums mobile app
J JUMA CHIDEO Member Feb 23, 2019 26 3 Mar 5, 2019 #2 Mkuu nipo hapa fundi wewe upo wapi Sent using Jamii Forums mobile app
J JUMA CHIDEO Member Feb 23, 2019 26 3 Mar 5, 2019 #3 Kutana na fundi sofa makini ndani ya Morogoro Mjini - JamiiForums Sent using Jamii Forums mobile app
J JUMA CHIDEO Member Feb 23, 2019 26 3 Mar 5, 2019 #4 Mkuu tazama kazi zangu hizo kisha tuwasiliane mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Aloycepriva Senior Member Jan 5, 2017 196 75 Jun 18, 2019 #5 JUMA CHIDEO said: Mkuu tazama kazi zangu hizo kisha tuwasiliane mkuu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... hell mr unaweza kuwa na jora la pink Aina ya Koshbo ? au wew una aina gan tufanye bisness 0713 665667 for whtsuo only
JUMA CHIDEO said: Mkuu tazama kazi zangu hizo kisha tuwasiliane mkuu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... hell mr unaweza kuwa na jora la pink Aina ya Koshbo ? au wew una aina gan tufanye bisness 0713 665667 for whtsuo only