Natafuta fundi masofa

Kk02

Member
Aug 23, 2018
11
1
Habari wanaJF mimi ni mfanyabiashara wa kutengeneza masofa natafuta mafundi wawili wa kuvesha makochi na wakushona vitambaa vya makochi mwenye ujuzi huo tafadhali anipigie kwa namba hii 0768078727 au aniPM. Asante!


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom