Bakulutu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 2,551
- 1,776
Nina Hard disk 2 zote 500GB@ wapi nitapata mtaalamu wa kurekebisha hazi somi japo zina zunguka vizuri. Moja ina soma kidogo japo haionyeshi ile space buffer ukijaribu ku format haikubali.
Nataka mtalaamu haswa sio mtu wa kubahatisha. Nataka nipate data zangu ambazo zimenifanya nikose amani maishani kila mara nikizifikiria.
Nilitamani siki moja nikipata hata pesa niende China labda naweza fanikiwa. Moja ni ya Samsung ilio unganishwa moja kwa moja na port yake na disk, nyingine ni Hitach ya kawaida.
Pia naweza jua wapi warranty center ya Samsung Tanzania walipo?
Shukran kwa watakao pitia hapa kanisaidia.