Yeyote auzaye fridge kwa bei hiyo ani PM atume na ka picha
Fridge (najua itakua used) lakini iwe katika hali nzuri, iwe na uwezo wa kugandisha vizuri kwa sababu naihitaji kwa shughuli hiyo
*Nipo Temeke -Dar