Babu Kijana
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 589
- 278
Kwanini mkuu si inategemea na quality ya fremu na location au?Kwahiyo bei sahau kuhusu frame maeneo hayo.
Najali vyote haswa locationKwahiyo wewe haujali quality na location sio?
Najali vyote haswa location
Najali vyote haswa location
Nipo dar natafuta frem kwa ajili ya biashara ya stationery bajeti isizidi laki 1 kwa mwezi, napenda maeneo ya Kinondoni, Kijitonyama, Sinza na maeneo ya karibu na sehemu hizo.
Mwenye kuwa nayo au alosikia tafadhali naomba ushirikiano wenu.
Cheers
Me ninayo nakuachia frem na vitu vyake...!
Nipo Dar natafuta frem kwa ajili ya biashara ya stationery bajeti isizidi laki 1 kwa mwezi, napenda maeneo ya Kinondoni, Kijitonyama, Sinza na maeneo ya karibu na sehemu hizo.
Mwenye kuwa nayo au alosikia tafadhali naomba ushirikiano wenu.
Cheers
Wenye nazo waje basi
Unaweza nipatia namba yake huyo mtu?kuna flemu iko njia inayoelekea victoria kama unaelekea mwananyamala yeye anapangisha flemu pale ila sijajua kama mpaka sasa itkauwa imepata mteja tayari
Unaweza nipatia namba yake huyo mtu?