Natafuta fremu ya kupanga

Natafuta fremu ya kupanga

Fundi umeme

Senior Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
116
Reaction score
24
Natafuta frem ya biashara nataka kuuza vifaa vya umeme pamoja na vifaa vya ujenzi frem iwe kati ya kimara Korogwe adi kibamba frem iwe nzuri na sehemu ambazo kuna watu wengi na pia eneo ambalo masuala ya ujenzi yanaendelea kwa kasi na sio barabarani tu ata maeneo ya ndani ndani ilimradi kuna watu wengi eneo hilo na Kuna soko la biashara tajwa hapo juu. Bajeti yangu ni tsh 50,000/= kwa mwezi na uwezo wangu ni miezi 6. Cont: 0753 505115/ 0715 505115 au 0689 330820.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom