Natafuta Fremu ya biashara Kibaha

Natafuta Fremu ya biashara Kibaha

sekyy

Member
Joined
Aug 9, 2021
Posts
21
Reaction score
12
Habari,

Natafuta fremu kibaha eneo moja wapo kati ya haya
  • Kwa matiasi
  • Kwa mfipa
  • Kongowe

Iwe sehemu nzuri sio ndani ndani.

Kama unayo pls nicheki 0757854660.

Ofa yangu 70,80, mwisho 100 kwa mwezi 🙏
 
Jaman bado sijapata fremu natafuta fremu ya biashara kibaha
Kwa matiasi au kwa mfipa ata kongowe plzzzzz nashida nayo mnoooo
0757854660
 
Back
Top Bottom