jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,020
Mkuu,u mean $ 600 kwa sqmtr,bei iko juu kidogo,imezidi international rates.Ipo mkuu,mtaa wa sheikh Lakhtikh,square mita 25,$15,000 kwa mwezi,kama upo tayari nicheki nikupe details zote za hiyo frem,ina nyaraka zote za serikali
Ni pm namba yako,tunaeza ongea jambo boss.Baba,hiyo ni Dubai baba,hata Obama anakuja kula bata kimiya kimiya,ndio bei yake hyo mkuu,na hyo place ukiinvest pesa yako ndani ya miezi 6 lazima irudi,pana biashara sana
Haaa mkuu kvp tena disco liingie mmasai? Ebwana nipo biashara ya kushinda porini kukata mkaa inanificha.Mmmh, King Kong III umekuja??,daaah,disco limeingiliwa na mmasai,za siku mkuu???
Haaa mkuu kvp tena disco liingie mmasai? Ebwana nipo biashara ya kushinda porini kukata mkaa inanificha.
Pamoja mwana kazi kwanza.Hahaaaaa,safi sana mkuu ndio maana sikuoni mkuu humu,naona unaitikia kaulimbiu ya mh.raisi wetu ya 'hapa kazi tu'