4rever young
Senior Member
- Jul 26, 2019
- 136
- 125
Naomba unielekeze hizo ambazo zimefungwa boss wanguArusha car wash nyingi na nyingine zimefungwa haha haha nenda dom kipindi cha bunge utapiga pesa. Jaribu lkn upate zile gari za tours na hizo coaster,
Anzia hapo leganga nenda mbele kama unakuja mjini huku mianzini utaona.Naomba unielekeze hizo ambazo zimefungwa boss wangu
Nashkuru boss!! We ni mwenyeji wa hukoAnzia hapo leganga nenda mbele kama unakuja mjini huku mianzini utaona.
Napita sana boss niko hapa moshi.Nashkuru boss!! We ni mwenyeji wa huko
Mkuu Dodoma kuna maji ya kutosha?Arusha car wash nyingi na nyingine zimefungwa haha haha nenda dom kipindi cha bunge utapiga pesa. Jaribu lkn upate zile gari za tours na hizo coaster,
Yapo ndiyo hujafika dodoma bado auMkuu Dodoma kuna maji ya kutosha?
Nilifika miaka iyo mwanzoni mwa awamu ya nne.Yapo ndiyo hujafika dodoma bado au
Aseee maji ya duwasa mjini yapo ya kutosha kabisa visima kama vyote.Nilifika miaka iyo mwanzoni mwa awamu ya nne.