Natafuta frame ya bishara ya duka la reja reja

Natafuta frame ya bishara ya duka la reja reja

nguzo1

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
355
Reaction score
582
natanguliza shukran,
nahitaji frem ya biashara iwe kubwa saizi (3x3) m
mahali ni hapa dar es salaam maeneo ya tabata shule au maeneo ya karibu please assist!!
 
Kuna fremu maeneo ya tabata shule,lakini sio barabarani,ni pale kulia njia ya kwenda bonde la msimbazi,huendi mbali sana,zipo tatu zinapangishwa laki moja kwa mwezi kila moja.0784413039,ni nzuri na salama,sema haiko barabara kuu.
 
Back
Top Bottom