Wakuu habari za leo,
Natafuta formula za chakula cha kuku aina zote. Mwenye kufahamu anisaidie.
Namba 0654000253
Hapana sipo kanda ya kaskazini mkuu....theriogenology
magange
MUST
kama mpo mikoa ya kaskazini na mnakuku wanaoanza kutaga nahitaji kama kuku 50 nataka nianze kufuga
ila wawe wakienyeji au chotara
nitampateji huyo mtu mkuuHapana sipo kanda ya kaskazini mkuu....
Kwa upande embu jaribu kuwasiliana na chasha poultry farming atakuwa na msaada mkubwa kwako mkuu.....
Ngoja nim tag aje hapa akutatulie shida yako mkuu CHASHA FARMING unahitajika hapanitampateji huyo mtu mkuu
Anakuja muda si mrefu mkuu kuwa na subila kidogo .....nitampateji huyo mtu mkuu
Pw MkuuAnakuja muda si mrefu mkuu kuwa na subila kidogo .....
je una Kuku wakuuzaAliye serious anitafute whatsapp...kwa gharama ndogo sana , nakupa formula, kulingana na mazingira uliyopo .....@ASTRUM GREEN AGRICULTURE (A.G.A) +255758586000..
Whatsapp only