Natafuta flat ya kupanga maeneo ya Upanga ya binafsi au NHC. Iwe na vyumba 2-3. Ningependelea choo na bafu viwe separate na isiwe ground floor. Kodi isizidi 800,000/- kwa mwezi.
Wakati fulani niliwahi kufikiria kuanzisha online platform ambapo watu wangeweza kuweka nyumba na vyumba vya kupangisha ili kwa mhitaji wa chumba apite hapo na kuchagua anachohitaji, lengo kuepusha usumbufu wa kuzunguka mitaani kutafuta chumba cha kupanga. Labda tuwaombe moderators wa JF watuwekee jukwaa la namna hiyo kwa sababu naamini wahitaji wa huduma hii ni wengi sana kwa kuzingatia hadhira ya JF. Ipo mitandao currently inayotoa huduma kama hiyo ila ni kwa majumba expensive sana sio hizi zetu za Tabata na Sinza (Maisha yetu ya kawaida). Tujaribu kuliweka hili wazo vizuri tupate jukwaa la namna hii hapa JF.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.