Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,521
- 14,000
Natafuta flat screen Tv Inchi 21-24 iwe ya rangi,hali nzuri haijawahi kufunguliwa,iwe na rimoti yake na boksi lake,mwenye nayo ani PM au anipigie kwenye 0787140432 au aweke picha yake na bei yake hapa jukwaani.
Mimi nipo Arusha.
Asanteni wote.!
Ina king'amuzi cha aina gani Star Times au.? kipo ndani ya Tv au,sema bei yako ya mwisho ikiwezekana weka na picha ikishindikana sema rangi ya Tv yako.Me nipo dar nina samsang led 23'f4003 inaking'amuzi ndan yake nimei2mia ndan ya miez2 na warrant yake bado ipo box na remote iko powa kabisa bei 400,000 0764616353
Mwenye mali ndiyo anayeanza kusema bei, kikubwa bei inategemeana na quality ya Tv.Kama unayo sema aina yake na bei yake ikiwezekana tupia picha hapo jamvini.!Taja bajet Yako... Upate mzgo
Me nipo dar nina samsang led 23'f4003 inaking'amuzi ndan yake nimei2mia ndana
Natafuta flat screen Tv Inchi 21-24 iwe ya rangi,hali nzuri haijawahi kufunguliwa,iwe na rimoti yake na boksi lake,mwenye nayo ani PM au anipigie kwenye 0787140432 au aweke picha yake na bei yake hapa jukwaani.
Mimi nipo Arusha.
Asanteni wote.!
Asante kwa taarifa,shida hapo ni hiyo rimoti siwezi nunua Tv,then nisiwe na uhuru nayo,nahisi hiyo itakuwa ni mtumba kutoka Ughaibuni via Zenji.!Ninayo bush flat screen unaweza ukaitumia pia kama pc screen remote ilipotea lkn iko ktk hali nzuri ni inch 24 nauza 300,000
Sent from my iPhone 5c using JamiiForums
Asante kwa taarifa,shida hapo ni hiyo rimoti siwezi nunua Tv,then nisiwe na uhuru nayo,nahisi hiyo itakuwa ni mtumba kutoka Ughaibuni via Zenji.!
Me nipo dar nina samsang led 23'f4003 inaking'amuzi ndan yake nimei2mia ndan ya miez2 na warrant yake bado ipo box na remote iko powa kabisa bei 400,000 0764616353
Bado natafuta Tv,mwenye nayo aniPMNi nchi ngapi mkuu hiyo tv
Vp TV ulipata? Ninayo nauza.Bado natafuta Tv,mwenye nayo aniPM
Angalia Uzi ulikwa wa lini?Vp TV ulipata? Ninayo nauza.