kuna makampuni unaweza kuomba. acon, sai(hawa ni consolated),sai express, simba, fafu, jogoo, shiba, janda, binamungu, quality express. nenda pale station ofisi za tra asubuhi utawakuta. ulizia yoyote mtu anayefanyia kazi moja ya hizo kampuni lazima umpate. au nenda pale waf bandarini.