Natafuta field

Be happy

Member
Joined
Apr 25, 2012
Posts
39
Reaction score
26
Mdogo wangu yupo mwaka wa pili Chuo cha Mzumbe, Kozi ya "Procurement and Logistic Supply'. Naombeni msaada wenu. Field zinaanza mwezi wa saba. lakini barua za kuombea zimetoka. Asanten
 
Hyo ni course mpya hapo mzumbe nin?
 
Yeye hawezi kuomba mpaka wewe umwombee?
 
We acha hizo bwn. if u dnt wnt to help thn keep quite coz being a university student doesnt mean that u have evry thng. so my young doest have a phone/laptop whch supports internet, and i have a phone with internet thts y um helping. acha fikra mgando.
 
Aombe serikalini kama yupo dar awahi kuomba utumishi atapata experience nzuri sana watamueweka kiyengo cha procurement apeleke kwa hr pale utumishi
 
kama kweki yuko tayari kutumika vizuri katika sekta ya kifedha monday to monday bas naomba apeleke barua pale crdb azikiwe kama yuko lazy apeleke pale akiba makao makuu wanataka vijana wa field.
 
Nenda Tanzania Ports Authority wao uwa wanapokea wanafunzi wa field bila shida yoyote ile. Nasema hivyo kwasababu ya experience yangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…