mama mtarajiwa
JF-Expert Member
- Nov 29, 2016
- 290
- 449
Maneno ya kiungwana hayo.Unaijua Historia yake na aliyoyapitia?
Tusiwe wepesi wa kuhukumu kwa jambo ambalo hatujui A wala Z.
Kila la Kheri mtoa mada, bila shaka utampata.
vp nikiwa chini ya umri wako ila niko smart kuna tatizo, kama hakuna tatizo naomba nije mana nami najielewa sanakwa jina naitwa malamia
kabila langu mchaga
umri wangu miaka 35
mchapakazi sana
elimu ya chuo
sijawai kuolewa
sijawai kuzaa
naishi dodoma ila mwakani nitahamia dsm nimeajiriwa
dini mkristo
sinywi pombe
natafuta mwanaume mtu mzima anaejielewa kwa mahusiano ya moja kwa moja .
awe mtu mzima sana miaka 40 mpaka 60
nyotanjema2017@gmail.com
Labda usipokuwa umeolewa itakuwa hawajakamilika, lakini tumuombee ampate mwenza wake wapendane,wavumiliane na wawe na hofu ya munguNimegundua kitu mademu wengi wa kichaga umri ukienda wanakua na stress sana ya ndoa, we sio wa kwanza hapa jukwaani umri in huo huo na kabila like lile otherwise use ni mtu mmoja unabadiri account!
mungu wangu na mimi naelekea deadlineMungu akusaidie upate mchumba haraka maana tayari unavuka umri mzuri wanaoshauri wataalamu wa kuzaa. Wataalamu wa afya wanashauri kuzaa ni kuanzia 20 - 35
nimekumiss mzee wa mita 200Mungu atimize haja ya moyo wako.
Ameen.
niombee na mimiMungu atasikia kilio chako dada kingine usiache maombi Mungu akufunulie mume mwema