andythelast Member Joined Mar 22, 2014 Posts 65 Reaction score 25 May 13, 2014 #1 Tafadhali nina 50,000 nahitaji external HDD yenye ukubwa wa 500 GB.kama ipo sema tufanye biashara.,
frema120 JF-Expert Member Joined Jan 1, 2012 Posts 5,098 Reaction score 1,341 May 13, 2014 #2 andythelast said: Tafadhali nina 50,000 nahitaji external HDD yenye ukubwa wa 500 GB.kama ipo sema tufanye biashara., Click to expand... Kwa bei hiyo, FAKE utaipa haraka sana lakini orginal ni kuanzia 150,000. Ukitaka fake na orginal sema nikuelekeze zilipo.
andythelast said: Tafadhali nina 50,000 nahitaji external HDD yenye ukubwa wa 500 GB.kama ipo sema tufanye biashara., Click to expand... Kwa bei hiyo, FAKE utaipa haraka sana lakini orginal ni kuanzia 150,000. Ukitaka fake na orginal sema nikuelekeze zilipo.
koplo JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 574 Reaction score 153 May 13, 2014 #3 hivi hizo ni za kutafuta au kwenda kununua jipange utauziwa kimeo kwa hela hiyo