Natafuta engine

Natafuta engine

JACKBIZZO

Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
83
Reaction score
12
Habari wanaJF, natafta Engine ya GARI Toyota suef kama ilivo changanuliwa hapa.

* Vehicle Details.
- make- Toyota
- model- 4RUNNER
- model number - LN135
- year of manufacture-1992
- Engine No - 3L3104169
- Engine capacity- 2779
- Fuel - Diesel
Nahitaji mpya. Ila pia kama imetumika na bado ni nzuri kimatumiz.

Kwa mawasiliano zaidi: 0768181757
 
Inaitwa almaarufu 3L. . . . .Kama uko Dar nenda Shaurimoyo
Ziko nyingi sana sababu Hiace nyingi (mayai ziko na hiyo engine)

Lakini ni engine inaytengenezeka bila shida kama hujawahi ifungua sio mbaya uki overhaul kutegemea na.shughuli za gari husika
 
mkuu umepata piga namba hii 0715274191
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom