Aisee nimepita Ilala nikakuta 1KZ bei yake kwasasa ipo juu sana. December nilipita kuulizia ilikuwa millioni 3.5 hadi milioni 3.3. Wiki hii wameanzia milioni 4.2 hawashushi chini ya 3.9Asante mkuu@nsereko
Hapa c nanunua IST second hand kabisaAisee nimepita Ilala nikakuta 1KZ bei yake kwasasa ipo juu sana. December nilipita kuulizia ilikuwa millioni 3.5 hadi milioni 3.3. Wiki hii wameanzia milioni 4.2 hawashushi chini ya 3.9
Ni kweli mkuu inategemea unataka niniHapa c nanunua IST second hand kabisa
OkMcheki jackline wolper