Hapa ndo umeongea maana nilitaka nikwambie uende slip way nikasita sababu sikujua upo mkoa gani.
Kwa Mwanza ni changamoto aisee, sina idea ya sehemu wanauza ila zamani kulikua na duka la engine barabara ya Makongoro karibu na taa za pale Nela Street mchepuko wa kwenda Mwaloni. Ni duka la wahindi sijui kama bado wapo wanauza