Natafuta eneo zuri la biashara ya chips

Natafuta eneo zuri la biashara ya chips

Don R

Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
17
Reaction score
4
wadau nlikua natafuta eneo zuri hv la biashara ya chips ambayo isiwe ya bei ghali saana kama chini ya laki moja hv ambayo local local ila kuna wateja weng na lamechangamka maana nmesumbuka sana kutafta
na kama ni town sana juu ya 100k hko ckuwez naomben mnijuze sehem ya kawaida tu yenye kulipa ambapo amna ushindan saana

MM NPO DAR
 
Back
Top Bottom