served Senior Member Joined Nov 6, 2013 Posts 168 Reaction score 58 Jan 6, 2014 #1 natafuta eneo la kununua kigamboni maeneo ya dege mpaka mbutu eneo liwe la nusu ekari mpaka ekari moja.
natafuta eneo la kununua kigamboni maeneo ya dege mpaka mbutu eneo liwe la nusu ekari mpaka ekari moja.
joss1973 JF-Expert Member Joined Mar 18, 2010 Posts 405 Reaction score 103 Jan 6, 2014 #2 maeneo yapo mkuu tuwasiliane yapo yaliyopimwa (surveyed ) na yacyopimwa wa namba hizi 0713959290
K Kyatsvapi JF-Expert Member Joined May 15, 2009 Posts 317 Reaction score 196 Jan 6, 2014 #3 Kuna eneo Mbutu ekari moja. Ni jirani na shamba langu. Ni PM nikupe maelekezo mkuu.
served Senior Member Joined Nov 6, 2013 Posts 168 Reaction score 58 Jan 6, 2014 Thread starter #4 naomba tu unielekeze hapahapa maana cwez kupm. Kyatsvapi said: Kuna eneo Mbutu ekari moja. Ni jirani na shamba langu. Ni PM nikupe maelekezo mkuu. Click to expand...
naomba tu unielekeze hapahapa maana cwez kupm. Kyatsvapi said: Kuna eneo Mbutu ekari moja. Ni jirani na shamba langu. Ni PM nikupe maelekezo mkuu. Click to expand...
K Kyatsvapi JF-Expert Member Joined May 15, 2009 Posts 317 Reaction score 196 Jan 6, 2014 #5 Eneo lipo karibu na stendi ya mabasi ya Mkwajuni kama unatoka Dege kabla hujafika Kichangani. Ni kama kilometa 1.2 hivi toka baharini...
Eneo lipo karibu na stendi ya mabasi ya Mkwajuni kama unatoka Dege kabla hujafika Kichangani. Ni kama kilometa 1.2 hivi toka baharini...
served Senior Member Joined Nov 6, 2013 Posts 168 Reaction score 58 Jan 6, 2014 Thread starter #6 bei ikoje? nipe na no yako tuwe tunawasiliana. Kyatsvapi said: Eneo lipo karibu na stendi ya mabasi ya Mkwajuni kama unatoka Dege kabla hujafika Kichangani. Ni kama kilometa 1.2 hivi toka baharini... Click to expand...
bei ikoje? nipe na no yako tuwe tunawasiliana. Kyatsvapi said: Eneo lipo karibu na stendi ya mabasi ya Mkwajuni kama unatoka Dege kabla hujafika Kichangani. Ni kama kilometa 1.2 hivi toka baharini... Click to expand...