Natafuta eneo la Car wash


Kweli kabisa Boss. Endelea kutoa madini. [emoji1488][emoji4]

Kuna kitu nimejifunza between the lines of ur post. Nitalifanyia kazi.
 
Kweli kabisa Boss. Endelea kutoa madini. [emoji1488][emoji4]

Kuna kitu nimejifunza between the lines of ur post. Nitalifanyia kazi.

Future Car wash mkakati.

1. Weka Car wash yako nzuri na vifaa vyote muhimu
2. Pokea Cash na baadae anza kuingiza huduma ya booking hivyo unakuwa na wateja wamebook kabisa na pesa imelipwa kwa Mpesa au Tigo pesa.

3. Car wash yako iwe na sehemu ya kupumzikia
4. Weka sehemu ya kupata juisi au vinywaji kwa wateja huku wakisubiri gari ipigwe soap soap.
5. Tengeneza package ya kutoa huduma ya VIP.
6. Baadae utoe huduma kwa fleet yaani magari ya kampuni au taasisi.
7. Heshima imetengezwa kitaa na umejenga jina.
8. Wafungua Car wash sehemu ingine na uaanza kujiimarisha na kuwa habari ya mjini.

πŸ˜€πŸ˜€
 

Hahaha Kweli Kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…