Natafuta eneo la Car wash

Mkuu eneo utaapata, swali langu je nikiamua kuanzisha carwash ndogo ya uswahilini tu itahitaji shingapi vitu vya msingi tu.
 
Mkuu eneo utaapata, swali langu je nikiamua kuanzisha carwash ndogo ya uswahilini tu itahitaji shingapi vitu vya msingi tu.

Unaweza speacialise kuosha boda boda tu...ila again...vifaa viko fixed sasa lazima utanunua tu na rent ipo pale pale. Sasa sijui utaoshea barabarani au vp.
 
Angalia hizo location ulizo plan ni nzuri utapiga Hela.... All in all... Kila la kheri
 
Kila la heri. Pamoja na hilo tafuta eneo jirani na mgahawa wanapokula middle-class au men's barbershop hayo maeneo utapiga hela sana morning till dawn.Take my advice you'll find out
 

Hayo maeneo ulotaja nyapo kwenye Prime Location hivyo kinakushinda hiyo rent.

Jaribu kutoka kidogo angalia maeneo kama Mbweni au Mbezi rent inaweza kuwa nafuu kidogo.

Vinginevyo kodisha kiwanja cha mtu kilichopo maeneo hayo mawili unakuwa unafanya kitu chaitwa lease hold kama miaka miwiili kwa kuanzia.

Ukitengemaa ndo unaweza kurudi kwenye maeneo ulotaja maana huenda ukaweza kulipa rent.

Ila kama uko serious basi waingia eneo twaliita untapped riches wa wajasiriamali wadogo.
 

Mkuu nimekuelewa ila naomba uelezee kwa lugha simple zaidi kwa wengine wakusome. Lol

Kuna ukweli na ulichosema...sema nnje ya mji kidogo business is slow kuliko huku prime area.
 
Mkuu nimekuelewa ila naomba uelezee kwa lugha simple zaidi kwa wengine wakusome. Lol

Kuna ukweli na ulichosema...sema nnje ya mji kidogo business is slow kuliko huku prime area.

πŸ˜€πŸ˜€

Najaribu kukuambia kwamba una mawazo chanya sana ambayo yanaweza kukufanya ufanikiwe kifedha kwa muda mfupi sana ikiwa unaweka hiyo biashara kwenye eneo sahihi.

Hivyo maeneo ulotaja mwanzoni (kama unaweza kumudu hiyo rent yake) basi utakuwa umeula.

Ila usisahau maeneo mengine kama niliyokutajia kama Mbweni na Mbezi, kwani ukiweka car wash yako pembezoni mwa hizo barabara ambazo nyingi ni mpya, basi hutakosa cash flow itakayotokana na trafiic unayopita kwenye maeneo hayo.

Nafikiri hapa angalau ntaeleweka kidogo.

πŸ˜€πŸ˜€
 
mmh inashawishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…