MUKONZI NA BINO
Member
- Nov 20, 2013
- 27
- 18
Salamu wakuu. Natafuta eneo zuri la kufungua biashara ya kuosha magari.
Hata kama kuna mtu anapangisha naomba tuwasiliane.
Mimi nipo Dar na biashara hiyo nataka kuifungulia hapa hapa Dar.