Kwa Bei hiyo nenda vijijini mkuu ...Eneo kubwa nna maana ya kuwa niweke mifugo na nyumba za wasaidizì.
Wewe jamaa acha uchagga basi mangi 😅😅😅 yaani buashe milioni 5 keshi hupati eneo kubwa la barabara eti hapo babati mjini/manispaa.Eneo kubwa nna maana ya kuwa niweke mifugo na nyumba za wasaidizì.
Unatafuta shamba kumbe mkuu nikajua eneo la kiwanja mjini. Kama ni shamba sisi ndiyo tunahitaji kujua ni ukubwa gani unahitaji mfano ekari moja au nusu ekari. Milioni 5 unaweza otea nusu ekari ya shamba.20milion ni shamba kubwa kiasi gani Mkuu?
Ndiyo nataka eneo kubwa. Hata likipatikana ekari 3 sawa tu.Unatafuta shamba kumbe mkuu nikajua eneo la kiwanja mjini. Kama ni shamba sisi ndiyo tunahitaji kujua ni ukubwa gani unahitaji mfano ekari moja au nusu ekari. Milioni 5 unaweza otea nusu ekari ya shamba.
Watanzania kujieleza tukaeleweka ni tatizo. Mfumo wa elimu kutumikia chama ni shida kubwa sana.Eneo kubwa nna maana ya kuwa niweke mifugo na nyumba za wasaidizì.
... anataka aweke mifugo na nyumba za wasaidizi anavyodai mwenyewe.Njoo pm nikuunganishe na dada yangu anauza eneo lake pale babati karibu na ziwa babati, lina kama nusu heka ila ni zuri sana.