political Engineer 2
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 296
- 794
Jumla million 19 kwa mwakaFrem Iko kariakoo ila Kwa mwaka ni milion 9 na kilemba milion 10
Kilemba analipa akiingia tu. Yani mwaka wa kuanza biashara yake pale analipwa pango MILIONI 19Jumla million 19 kwa mwaka
Hii ni hatariJumla million 19 kwa mwaka
HeeKilemba analipa akiingia tu. Yani mwaka wa kuanza biashara yake pale analipwa pango MILIONI 19
Mpesa,Tigo pesa,hallopesa,Airtel money, Wakala wa NMB ,CRDB na EQUITYUnataka kuweka biashara gan
Anhaa hii Kwa kariakoo ni kigoli tu Cha laki 2 inatosha kabisaMpesa,Tigo pesa,hallopesa,Airtel money, Wakala wa NMB ,CRDB na EQUITY
Kukipata ni shughuli sasaAnhaa hii Kwa kariakoo ni kigoli tu Cha laki 2 inatosha kabisa
Bonge moja ya biashara mkuu nakupa kila lakhera katika biashara yako ufanikiwe,Mpesa,Tigo pesa,hallopesa,Airtel money, Wakala wa NMB ,CRDB na EQUITY
Sa si inategemea na eneo mbele pale naona pamejaa si mchezoAnhaa hii Kwa kariakoo ni kigoli tu Cha laki 2 inatosha kabisa
Vipoo Kuna majengo mapya kariakoo unapata hivyo vya aina hiyo. Nenda mchikichi na Sikukuu Kuna jengo jipya paleKukipata ni shughuli sasa
Kariakoo Kuna biashara sana. Ukitulia unapiga pesa tu! Mazingira hayo au huku mtaa wa Kiungani na Sikukuu Kuna uwakala wa kusuasua mazingira Yale kawekeze paleSa si inategemea na eneo mbele pale naona pamejaa si mchezo
Kina square meter ngapi cha ghorofani au cha chini?Frem Iko kariakoo ila Kwa mwaka ni milion 9 na kilemba milion 10
6*6 kama sijakosea... Zipo underground nikupeleke ukajioneeKina square meter ngapi cha ghorofani au cha chini?
Nipeleke Mimi mkuu,nione6*6 kama sijakosea... Zipo underground nikupeleke ukajionee
Nimekuachia namb inboxNipeleke Mimi mkuu,nione