M mbongombishi JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 593 Reaction score 310 Mar 27, 2015 #1 habari wakuu,natafuta enclosure ya desktop 3.5 IDE drive ili niweze kuitumia hard disk kama external storage.Nitafurahi sana kama nitaipata kwa kuelekezwa mahali zinapouzwa ama kwa kuuziwa moja kwa moja. Akhsanteni
habari wakuu,natafuta enclosure ya desktop 3.5 IDE drive ili niweze kuitumia hard disk kama external storage.Nitafurahi sana kama nitaipata kwa kuelekezwa mahali zinapouzwa ama kwa kuuziwa moja kwa moja. Akhsanteni